kibaki in LOLIONDO

Sura ya kwenye avatar yako inafanana na huyo mzee kibaki hapo
 
Kibaki anaumwa nini ? Wasiwasi wa mauwaji aliofanya na kujiweka madarakani ki mabavu ? Afanye tena hayo , Ocampo na ICC wanamungoja.
 
Aaaaah jamani! Mbona kikombe cha babu hakiko ivo?
Msiniambie Kenya nao wana babu wao.........
 
Well, he looks like Kibaki.............but vikombe vya Loliondo vina maandishi kwa waliofika huko watujuze.................
 
kumbe hata ujui matani! Nyumba na sura wapi na wapi au wa juzi nini!

Jamaa kweli hajui matani................unaweza kuta ka-mind kichizi hata kula hali!!!!!!
Ful maphoto shop hiyo pic.......kibaki na loli wapi na wapi!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…