Kibajaji

Kibajaji

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,536
Reaction score
15,751
1620481_509150122530954_1364087420_n.jpg
 
ujumbe aliokusudia umefika ingawa amekosea kuandika
 
Shule wanaikimbia wakati mwingine inasaidia. Sasa alie andika na yeye ni walewale. Na mwenye bajaji hali kadhalika. Labda ana maana nyingine. Baada ya pumzika kwa amani.
 
Bben2 nawe shule yako inashaka. Ulimaanisha baada ama badala? Kiswahili mzee nni shidaaaaaaa kuzidi hii lugha iliyokuja kwa majahazi na ndege!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
tatizo kusikia maneno bila kujua yanaandikwaje
 
Back
Top Bottom