Kibagadu

watoto wana innovation na bidii, hawangoji kuletewa au kununuliwa michezo , wanatengeneza wenyewe - naomba waendelee hivyo hadi ukubwani - hawa ndio nguzo ya tz
 
duuh umenikumbusha mbali enzi hizo baikseli za miti
 
Tatizo hakuna pa kuendeleza sanaa yao, shule nazo zimefutiwa masomo ya sanaa. Daah! Shida tupu!
 
Kipakala hicho!

Sasa ukibahatika kuwa na bro anayefanya kazi mjini unamwomba akutafutie bearings (tamka bering'), ukipata zile kubwa ni poa zaidi. Sikilizia ka-mlio wakati kinashuka kwenye kilima, wacha kabisa!
 
Hahahahahaa umenikumbusha mbali sana hasa hilo jin "kibagadu" yan ww lazima upo Iringa au uliishi huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…