NDOTO KAVU
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,513
- 1,121
Mwenyekiti UVCCM Taifa, Ndg. Kheri D. James (MCC) akihutubia wakati akizindua Kampeni ya Uchaguzi Mdogo katika Kata ya Daraja Mbili mkoani Arusha.
#Tukutane_KaziniView attachment 815426
Ndo tatizo hilo la watanzania,kuwa ccm si upongeze hata baya,Ile serikali tumeiweka sie madarakani tumewapa na kodi zetu watuongoze wakizutumia tofauti na matakwa yetu ni lazima tuwaweke mtu kati,hiyo ndo siasa.Sasa wewe hata baya unaoongeza tuTangu lini, kila siku unakitukana chama nyoosha maelezo.
Hizo id feki mkuu kuna watu wana id nyingi sana kila id na kazi yake.MfanoTangu lini, kila siku unakitukana chama nyoosha maelezo.
Nimekuwa nafiatilia comments zako tokea kile kipindi ulikuwa umeweka avatar ya CCM kama unataka kujiunga labda kwa sasa.Ndo tatizo hilo la watanzania,kuwa ccm si upongeze hata baya,Ile serikali tumeiweka sie madarakani tumewapa na kodi zetu watuongoze wakizutumia tofauti na matakwa yetu ni lazima tuwaweke mtu kati,hiyo ndo siasa.Sasa wewe hata baya unaoongeza tu
Hebu niambie hiyo ya CCM.Hizo id feki mkuu kuna watu wana id nyingi sana kila id na kazi yake.Mfano
1.id ya ccm
2.id ya upinzani
3.id ya kujiweka wazi
n.k
Hulii bali unaisoma namba[emoji12] na badoMimi ni kada wa ccm na sijawahi kukihama,ila kwa awamu hii sina morali kabisa miradi yangu yote huyu msukuma wa chato kanyofoa mirija,nimebaki nalia tu
Tunaisoma tupo wengi tu,watumishi,wafanyabiashara na wakulima wote mstari mmoja macho mbele kusoma nambaHulii bali unaisoma namba[emoji12] na bado
Kwa akili hizi lumumba ndio mtafutikaMbeya na Arusha lazima chadema kifutike.
akili ya mwenyekiti wako imechanganyikana na kinyesi,Naona na nyie mmeambukizwa tayari.Chama Cha Demokrasia na Malalamiko tumeshawazoea.
Kwa namna hii viwanda vitajengeka kwa kasi ya mwanga!View attachment 815659
Vituuz! Tunasonga mbele.
Wenye wivu jinyongeni.Kwa namna hii viwanda vitajengeka kwa kasi ya mwanga!
Rudini nyumbani CCM mbowe anawazingua tu amefulia chama kinamfia.[emoji23][emoji23][emoji23]wataniua makamanda
Maneno ya taarabu hayaendani na awamu ya serikali ya viwanda!Wenye wivu jinyongeni.