Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,407
- 5,065
| Military occupation |
|
Flag Coat of arms |
|
|
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkubwa kakimbiaPropanganda nyingi sana.Ukweli Ukraine wako vibaya
... bila taulo; nyeti zote nje watoto wanampigia mayowe mtaa mzima.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkubwa kakimbia
Putin kampindua zelensky na kachukua Ukraine yote vita vimeishaNaona mmeamua kuja kujifariji[emoji23][emoji16][emoji23] KHARKIV mnaikomboa mara mbili hongereni sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ni refa wa vita?..hii vita nimeamua kutoifuatilia.
..nimeshindwa kupata mahali ambapo nitasoma habari za ukweli kuhusu vita hii.
Kwani wewe ni refa wa vita?
Yani side 1 Russia na Side 2 NATO alafu upate sehemu yenye habari ya ukweli? We subiri mpaka mwisho wa vita tu ila maneno yatakuwa mengi sana kuliko ata vita zilizoanza miaka ya 1945 huko..hii vita nimeamua kutoifuatilia.
..nimeshindwa kupata mahali ambapo nitasoma habari za ukweli kuhusu vita hii.
Hii taarifa umeitoa wapi?😆😆😆😆🇷🇺🇷🇺Weng wanashangaa kwa nini Ukraine anadai kuikomboa kharkiv wakati mwanzoni ilifahamika aliukomboa mji wote?
Ni hivi Ukraine hakufanikiwa kuikomboa Kharkov yote , ila sehemu kubwa alifanikiwa,Russia walibaki na maeneo ya kaskazin ambayo ni Izium, Kupiansk, and Balakliia ambayo kwa sasa ndiyo Ukraine ameyatwaa.
The Russian occupation of Kharkiv Oblast is an ongoing military occupation, which began on 24 February 2022, after Russian forces invaded Ukraine and began capturing and occupying parts of Kharkiv Oblast, Ukraine. The capital of the Oblast, Kharkiv, has not been captured by Russian forces; however, other cities including Izium, Kupiansk, and Balakliia were captured by Russian forces. The city of Chuhuiv was initially captured by Russian forces on 25 February, but was recaptured by Ukrainian forces on 7 March.
Military occupation
Flag
Coat of arms
Objective za vita mara nyingi hua siri, na mara nyingi huja kujulikana baadae saana hata miaka kadhaa baada ya vita kuisha tena baadae unaweza kuja kugundua watu walikua wanachezesha tu kete zao ili kutimiza azma fulani........hasa hiki kipindi cha NWO fatilia tu yanayokuhusu hizi vita kama unashangilia chukulia tu kama unaangalia epl jiburudishe endelea na yako..hii vita nimeamua kutoifuatilia.
..nimeshindwa kupata mahali ambapo nitasoma habari za ukweli kuhusu vita hii.