Khaligraph X ROSTAM kolabo kali zaidi ya Hiphop Kenya na Tanzania

Fatilia ngoma ambazo mond amerap utaelewa nini nasema, au muulize AKA WA south africa au muulize fid walipokutana kufanya All way up remix au muulize Young killer ana ushahidi wote. Nakwambia hivi hakuna rappa bongo anayeweza kumfunika mond kwenye kurap kama mond atasema awe rappa, Hiphop ya bongo tayari.
Poa
 
Namkubali sana mond,ila dah hip hop bado ila anelekea na anafundishika lkn bado ni mwanafunzi upande wa hip hop.
 
Katika watu wengi hawazijui ngoma za Nikki Mbishi,,, huyu mtu ni hatari kwa mistari na ni noma hata Fid Q hamuwezi kabisa Nikki Mbishi
Nikki Mbishi ni genius pia ni 'complete player' kama CR7, ni mwandishi mzuri, ni freestyler mzuri, ana flow vizuri. Sema naona miaka ya hivi karibuni ubora wake umepungua (amechuja) so kwa sasa Khaligraph Jones ambaye yuko very hot akisimama na Nikki Mbishi ataonekana bora tu, ila nikimkumbuka yule Nikki wa enzi zile za Lunduno alikuwa noma sana
 
Fatilia ngoma ambazo mond amerap utaelewa nini nasema, au muulize AKA WA south africa au muulize fid walipokutana kufanya All way up remix au muulize Young killer ana ushahidi wote. Nakwambia hivi hakuna rappa bongo anayeweza kumfunika mond kwenye kurap kama mond atasema awe rappa, Hiphop ya bongo tayari.
another joke plz!
 
Khaligraph Jones anavyotrend sasa na kufanya kolabo nyingi namfananisha na Chid Benz kipindi kile hadi wasanii wa Kenya walikuwa wanamtafuta. Sema nahisi atawahi kuchuja, yaani baada ya miaka miwili tutakuwa hatumtamani tena kutokana na kufanya kazi nyingi, atapotea kwenye map atawaacha kina Fid Q wako vilevile. Ila naadmit the guy is hot kwa sasa kwenye upande wa Rap, yaani angekuwa Marekani wale wakina Kendrick Lamar wasingewika kabisa mbele ya huyu jamaa maana anaspit hatari, wakenya siwaelewagi kabisa wakirap ila huyu ni special one
 
Si kweli ndugu....

Yupo kitambo sema huku bongo ndo anaanza julikana sana time hii..

Atasumbua sana..
 
Khaligraph Jones anavyotrend sasa na kufanya kolabo nyingi namfananisha na Chid Benz kipindi kile hadi wasanii wa Kenya walikuwa wanamtafuta. Sema nahisi atawahi kuchuja, yaani baada ya miaka miwili tutakuwa hatumtamani tena kutokana na kufanya kazi nyingi, atapotea kwenye map atawaacha kina Fid Q wako vilevile. Ila naadmit the guy is hot kwa sasa kwenye upande wa Rap, yaani angekuwa Marekani wale wakina Kendrick Lamar wasingewika kabisa mbele ya huyu jamaa maana anaspit hatari, wakenya siwaelewagi kabisa wakirap ila huyu ni special one
Basi wewe ndio uko nyuma kumjua kaligraph Jones, mimi nimeanza kumjua kali si chini ya miaka 10 nyuma akibatle na Octopizo. Kwa taarifa yako kaligraph ameshatoa album na mictape si chini ya kumi. Wewe ndio umechelewa kumjua.

Mwaka majuzi alivyokuja rick ross kenya alisema jamaa si mkenya hahahaha.
 
Hii ngoma sichoki kuisikiliza, imeshiba kila mtu ameonyesha uwezo wake, ama kweli hapa wamekutana wababe, Khaligraph Jones amezoea kuwaonea wasanii anapofanya kolabo ila kwa mara ya kwanza hapa amekalishwa na Roma. Kwa mara ya mwisho kolabo ya maana ya Hiphop kati ya Bongo na Kenya ilikuwa ile ya Bamboo na JayMo (kwenye kila jamii) wakitumia beat ya 'msela'. This is my favorite song kwa sasa

ROSTAM nimewakubali hapa haswa Roma, kaimba zaidi kwa sheng, wakenya wamemuelewa zaidi kuliko stamina.
 
Kaligraph ndio tabia yake kuwafunika wenzie,sasa subiria rmx ya pochi nene alivyomfunika mpaka mwenye nyimbo,yaani kaua vibaya sana.

Kuna mwendawazimu hapa bongo anaitwa GNAKO, mshirikishe kwenye songi lako at your own risk, nashauri ampe kolabo nae aone shughuli pevu ya huyu jamaa.
 
Fatilia ngoma ambazo mond amerap utaelewa nini nasema, au muulize AKA WA south africa au muulize fid walipokutana kufanya All way up remix au muulize Young killer ana ushahidi wote. Nakwambia hivi hakuna rappa bongo anayeweza kumfunika mond kwenye kurap kama mond atasema awe rappa, Hiphop ya bongo tayari.
Acha bangi aise....."" hata kama kila mtu ana haki yakutoa Mawazo duuhh"" wewe umepitiliza ndugu....diamond " na hip hop...umelewa au uko timamu"" MAhaba Niue mengine bhana
 
Fatilia ngoma ambazo mond amerap utaelewa nini nasema, au muulize AKA WA south africa au muulize fid walipokutana kufanya All way up remix au muulize Young killer ana ushahidi wote. Nakwambia hivi hakuna rappa bongo anayeweza kumfunika mond kwenye kurap kama mond atasema awe rappa, Hiphop ya bongo tayari.
Mkuu acha ujinga.
 
Kuna mwendawazimu hapa bongo anaitwa GNAKO, mshirikishe kwenye songi lako at your own risk, nashauri ampe kolabo nae aone shughuli pevu ya huyu jamaa.
Huyo G.nako zaidi ya uwezo wa kuimba " na uwezo wa kughani chorus...sijaona kingine " ambacho anaweza kumzidi papa Jones...serious huwezi kuwataja hip hop artist 10 wenye ujuzi bongo .wenye flow Kali " uandishi mzuri " na wanaojua kupanga vina vya kati mwanzo na mwisho " pamoja na swag then uka muweka g.nako katika hiyo list huo utakuwa ni unafiki wa kima Wingu FM "" ....G. nako kwa uwezo wa flow "na uandishi "" hata young kila mkali sana
 
GNAKO chorus killer,flow na midondoko mweupe sasa.Hivi huyo kalighraph jones ushawahi kusikiliza nyimbo zake zote,yaani kwa Africa hii hamna rapper kama kaligraph JONES,jamaa amekosa management lkn kama angepata meneja mjanja mjanja sasa hivi tungeongea mengine,we mtu anaflow mpaka kwenye biti ya rege,alafu ana switch atakavyo yy,kasilize kipande chake cha pochi nene rmx alivyowakalisha ndio utaelewa,GNAKO bado sana tena sana upande flow.
 
Huyo G.nako zaidi ya uwezo wa kuimba " na uwezo wa kughani chorus...sijaona kingine " ambacho anaweza kumzidi papa Jones...serious huwezi kuwataja hip hop artist 10 wenye ujuzi bongo .wenye flow Kali " uandishi mzuri " na wanaojua kupanga vina vya kati mwanzo na mwisho " pamoja na swag then uka muweka g.nako katika hiyo list huo utakuwa ni unafiki wa kima Wingu FM "" ....G. nako kwa uwezo wa flow "na uandishi "" hata young kila mkali sana
Naongelea kufunikwa, jamaa huwa anafunika wenzake! Haikajashi vina vyake!! Chochote aimbacho ktk mistari yake huweka fleva inayovutia masikio na kufanya ya mwenye mistari mikali aonekane hamna kitu. Hata Fid Q ana mistari mikali, hata Nikki Mbishi yuko vizuri ila unaweza washirikisha hao wawili na GNako, GNako akawafunika. GNAKO ana X FACTOR fulani wengine hawana. He's definately not the best rapper but he's got that X FACTOR the upstages others!!
 
Back
Top Bottom