Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,840
Nimetoka kufatilia leo zile products za Man of God,Nimependa kushare nanyi taarifa hizi:
Products za SCOAN hazipatikani kwa sasa,si kwa anoiting water za zamani wala hizi mpya, Wanaozipata ni wale wanaoenda kulekule na haijulikani ni lini tena zitakuwa zinapatikana...
nimeambulia kurudi na sticker tu za LET LOVE LEAD
Ombi binafsi:kwa yule atakayeenda SCOAN naomba anipm tafadhali...