Nilipokuwa nasoma O-level kule Njoss 2likuwa na tabia ya kumcheka yeyote aliyekosea kutamka neno na 2likuwa 2nasema AMECHOMA. Nikiwa 4m3 mwl wangu wa darasa aliingia darasan asbh na kuanza kutoa adhabu kwa wale wasiofanya usafi,. Mwalim akauliza,nani hajasafisha MADIRISAA?(akimaanisha madirisha),2kaanza kucheka,tcha akasema jaman samahani ulimi hauna MSHUPA(akimaanisha mfupa)..hapo ndo aliharibu zaidi maana darasa zima kelele 2pu mwl umechomaaaa.

Nafikiri wewe ndio unachoma zaidi. Hizo namba mbili (2) nne (4) ulizoziweka tuzisomaje? Tusome mbili-likuwa, mbili-nasema. Au unataka tuzisome tarakimu kwa ki-english halafu herufi kwa kibongo? Kama ndivyo hapa iweje 4m3? four-m-three? Kaaazi kwelikweli! Unaweza kujaribu kuonesha kuchoma kwa Mwalimu wako bila kujua kuwa wewe ndiwe mwenye kuchoma zaidi!

<br / hvi ki-english napo tukueleweje?,dah hapo nawe umechoma lkn nashukuru pia kwa mtazamo wako,hvi ni kweli hujaelewa au ulitaka kutuonyesha kuwa wewe ni much know?.Nafikiri wewe ndio unachoma zaidi. Hizo namba mbili (2) nne (4) ulizoziweka tuzisomaje? Tusome mbili-likuwa, mbili-nasema. Au unataka tuzisome tarakimu kwa ki-english halafu herufi kwa kibongo? Kama ndivyo hapa iweje 4m3? four-m-three? Kaaazi kwelikweli! Unaweza kujaribu kuonesha kuchoma kwa Mwalimu wako bila kujua kuwa wewe ndiwe mwenye kuchoma zaidi!

Nilipokuwa nasoma O-level kule Njoss 2likuwa na tabia ya kumcheka yeyote aliyekosea kutamka neno na 2likuwa 2nasema AMECHOMA. Nikiwa 4m3 mwl wangu wa darasa aliingia darasan asbh na kuanza kutoa adhabu kwa wale wasiofanya usafi,. Mwalim akauliza,nani hajasafisha MADIRISAA?(akimaanisha madirisha),2kaanza kucheka,tcha akasema jaman samahani ulimi hauna MSHUPA(akimaanisha mfupa)..hapo ndo aliharibu zaidi maana darasa zima kelele 2pu mwl umechomaaaa.

<br / mzee asante lkn unaacha kusoma kama hazisomeki,.unajua kwanin wanapenda kuandika hvyo?

Nafikiri wewe ndio unachoma zaidi. Hizo namba mbili (2) nne (4) ulizoziweka tuzisomaje? Tusome mbili-likuwa, mbili-nasema. Au unataka tuzisome tarakimu kwa ki-english halafu herufi kwa kibongo? Kama ndivyo hapa iweje 4m3? four-m-three? Kaaazi kwelikweli! Unaweza kujaribu kuonesha kuchoma kwa Mwalimu wako bila kujua kuwa wewe ndiwe mwenye kuchoma zaidi!
Kweli jf raha, lkn hao dents hawana adabu, kwani hawajui kwamba MFUPA HAUNA ULIMI?Jf raha,full vicheko!ha ha ha!