Khaa!wachina inatosha sasa!

Jinyee haina maana china kama iliyo nayo Tanzania!
 
Hawa jamaa nadhani sasa wamezidi.wape lekwe kwa mahakama.

wapelekwe kwa kosa gani ilihali haya ni mambo tu ya lugha, inabidi tuwavumilie maana huku hilo neno lina ukakasi kulitaja mbele za watu lakini kwao ni jina
 
Hivi tukianza kuandika Kijapan hapa na kukitafsiri kwa Kiswahili si wengine tutaambulia BAN tu...
Mathalani, hebu mtu mmoja amalizie hii,

1. INAWASHA KU..MOTO
2. CHOKO
 
Ni majina ya kijapani kumamoto,takobaridi,jingaoni,tongotongho etc


Hivi tukianza kuandika Kijapan hapa na kukitafsiri kwa Kiswahili si wengine tutaambulia BAN tu...
Mathalani, hebu mtu mmoja amalizie hii,

1. INAWASHA KU..MOTO
2. CHOKO
 
Mnashangaa hilo, subirini waandike ule unaitwa k.. Moto. Uliopo japani, ndio mtakoma.
 
Usambazaji na utengenezaji wa bidhaa lazima uzingatie utamaduni wa watu!
unauhakika ilitengenezwa kwa ajili ya matumizi ya watanzania!!ni nani aliyeziingiza nchini?ni mchina au wafanyabiashara wa Tanzania ambao hawakuona kuwa hilo jina si tatizo!mimi kama mzalishaji wa biashara siwezi kufanya business analysis ulimwengu wote ili nijue nitengeneze bidhaa kufiti walaji wote duniani,hakika itakuwa ngumu!aliye import hiyo ndo aulizwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…