Keyboard ya HP probook 4530s

Adolph

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2010
Posts
895
Reaction score
346
Wakuu wapi ntapata keyboard used au mpya ya laptop tajwa.asanteni
 
hizi laptop keyboard na speaker ni janga lake kubwa + over heating
 
hizi laptop keyboard na speaker ni janga lake kubwa + over heating

Mimi nanayo toka 2012 January inapiga mzigo hadi sasa bila tatizo lolote, nilinunua brand new Megji hapa Dar!
 
Mimi nanayo toka 2012 January inapiga mzigo hadi sasa bila tatizo lolote, nilinunua brand new Megji hapa Dar!

Bahati yako lakini keyboard na speaker ndo matatizo ya majority
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…