Keyboard and touchpad stuck on Windows 8.1 installation screen

Keyboard and touchpad stuck on Windows 8.1 installation screen

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,227
Reaction score
1,821
Habari zenu ndugu, kuna Lenovo G40 ambayo nilikuwa nataka kuifanyia Installation ya Windows 8.1, maana imekuja mpya ikiwa na Windows 7 pre-installed. Nikawa nimefanya preparation ya Bootable USB drive. Baada ya hapo nikawa nimerestart pc nikaingia boot options nikachagua USB drive kama kawaida. Baada ya hapo ikatokea installation screen, hapo ndipo nilipokutana na tatizo, keyboard, touchpad na input devices zote zikawa hazifanyi kazi (Nimesema input devices kwa kuwa nimejaribu USB keyboard na Mouse lakini hakuna mafanikio)
Natanguliza shukrani.
 
jaribu kuingia BIOS settings. load BIOS to default settings. halafu jaribu tena
 
Kama ni hizi laptop new model zinakuja na "secure boot" cha kufanya hakikisha una disable Secure boot na badala yake Enable Legacy Mode..
Pili, angalia ISO image uliyotumia, je ni kamilifu?
Tatu, Je USB Drive unayotumia kufanyia installation ni genuine.. nashauri hizi brand:- Transcend, SanDisk, Genx, PNY, Imation na Samsung.. unitumie generic USB drives..
 
Nilishaenable legacy mode, na ISO image ninayotumia ni perfect kabisa kwa kuwa nilipoidownload md5 zilimatch na za online. Pia ninatumia Imation 8GB
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom