Tafuta kitabu kinaitwa "Kesi ya Uhaini" cha Mnenge Suluja,au magazeti ya Mfanyakazi ya miaka ya themanini, wameandika mpaka maelezo ya mahakamani utaona wakili Muccadam Lakha alivyowachachafya muendesha mashitaka na mashahidi wa upande wa serikali.
Pia kuna nyuzi tushajadili hap.
Soma
Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983