PostGE2025 Kesi ya uhaini dhidi ya Lissu imeishia wapi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mrao keryo

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,286
Reaction score
3,008
Wakuu Kesi ya uhaini dhidi ya Lissu imeishia wapi? nini kinaendelea? alishahukumiwa? kama bado,je yupo jela kwa kigezo gani hadi muda huu?

Naomba kujuzwa wakuu!
 
Wakuu Kesi ya uhaini dhidi ya Lissu imeishia wapi?nini kinaendelea?alishahukumiwa?kama bado,je yupo jela kwa kigezo gani?hadi muda huu?naomba kujuzwa wakuu!
ni uonezi tu wa watawala hakuna kesi hapo.
 
Ipo siku yaja kwa kasi sana, zamu yao ikifika na itafika kwa wao kwenda gerezani, na watalazimika na kumuomba muongozo wa namna ya kuishi na bwana jela na wafungwa wengine... hilo litatimia muda si mrefu...( Ajidhaniaye amesimama, aangalie asiangue, na akianguka, anguko lake litakuwa kuu sana na lenye kishindo na mwangi wa juu sana ...) -- AMEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…