Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,217
- 2,840
Wakuu Kesi ya uhaini dhidi ya Lissu imeishia wapi? nini kinaendelea? alishahukumiwa? kama bado,je yupo jela kwa kigezo gani hadi muda huu?
Naomba kujuzwa wakuu!
Naomba kujuzwa wakuu!
ni uonezi tu wa watawala hakuna kesi hapo.Wakuu Kesi ya uhaini dhidi ya Lissu imeishia wapi?nini kinaendelea?alishahukumiwa?kama bado,je yupo jela kwa kigezo gani?hadi muda huu?naomba kujuzwa wakuu!
ni uonezi tu wa watawala hakuna kesi hapo.
Mi naamini Mungu Muumba wa mbingu na nchi amemwifadhi huko awe salama, Njia za Mungu zipo juu sana adui anamlinda kwa kusudi lake Mungu wao wanadhani wanamkomoa. Mwombeeni tu na kumshukuru MunguKesi alishapangua, muendelezo wa mateso kwa wapinzani.mwisho wa ubaya aibu