Kuna rafiki yangu mkubwa huko serikalini wiki tatu zimepita aliniambia kwa kiburi kwamba Lema,Lissu Mnyika watapigwa chini ,kwa hiyo tutegemee the worse,tayari alikuwa anatamba kwamba na chaguzi zikirudiwa watashinda kwa kishindo aliniambia eti Lissu ni mwehu alishalawzwa Milembe
I hate CCM and her government