Jamani wanajukwaa kama tujuavyo kesho ndo hukumu ya kesi ya uchaguzi inayomkabili kamanda Lissu, napenda wanajukwaa walio karibu watujuze hakuna tetesi zilizovuja kama ilivyo kwa Lema?
hakuna kesi pale Lisu anapeta
serikali haina hela za kijinga za kurudia rudia chaguzi
sasa tunafocus mbele maendeleo.Majaji wanaelewa hukumu haziangalia sheria peke yake
wanaangalia other surrounding events

jamani wanajukwaa kama tujuavyo kesho ndo hukumu ya kesi ya uchaguzi inayomkabili kamanda lissu, napenda wanajukwaa walio karibu watujuze hakuna tetesi zilizovuja kama ilivyo kwa lema?
Nyie makada wa CDM ni mapimbi sana kwani tz hatutaki viongoizi bangi kama lema na lissu so hope dat kesho mahakama itatenda haki kuwatoa hawa viongozi wahaini wa CDM.
Nadhani fundisho walilolipata Arusha limewaamsha toka kwenye ujinga na kuona mbinu hizi za kuwatoa kwenye ubunge zinazidi kuwabomoa CCM.. Wameona ni afadhali wamuachie Lisu ubunge kuliko ku-risk kumuondoa pale na kisha ya Arusha yahamie na Singida..
Nyie makada wa CDM ni mapimbi sana kwani tz hatutaki viongoizi bangi kama lema na lissu so hope dat kesho mahakama itatenda haki kuwatoa hawa viongozi wahaini wa CDM.
Umepost comments 9.. Nimezisoma zote nikagundua hapo kwenye nyekundu hapo.. Wajisema mwenyewe.. Maana ni mvuta bangi tu ndio anaweza kuandika yote ulioandika kwenye comments zako.. Hope pesa unayolipwa kwa kila comment ina-justify ur level of reasonin..