Kesi ya Saed Kubenea kuunguruma kesho mkoani Dodoma

Kesi ya Saed Kubenea kuunguruma kesho mkoani Dodoma

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,181
Reaction score
1,494
TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO



CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA)WILAYA YA DODOMA MJINI

Pamoja na salamu za chama CHADEMA-VEMA...

Ndugu kiongozi/mwanachama na wapenda mabadiliko wote.......... nawakumbusha kesi ya kamanda wetu mpambanaji......

Mheshimiwa SAED KUBENEA Mbunge wa Ubungo ni kesho

Tarehe:26/07/2017

Muda:Saa MBILI asubuhi

Sehemu: Mahakama ya wilaya DODOMA

Ukipata ujumbe huu mwambie na mwenzako....tafadhari fika bila kukosa ili kuonyesha NGUVU YA UMMA

TUNAJIVUNIA...."NGUVU YA UMMA"

Imetolewa na

Mathias Raymond Nyakapala
Katibu wa Wilaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda Hana kesi kabisa,ni hao ma sisiema walioshindwa kuwaletea watanzania maendekeo miaka 50 baada ya Uhuru,wameamua kuwapotezea muda wapinzani kupitia kesi zisizo na nyuma wala mbele
 
Back
Top Bottom