Habari za usiku huu wakuu,nimefTilia kesi ya daudi mwangosi(marehemu)...mara zote kesi ilipokua inatajwa.mtuhumiwa alikua anafungwa kitambaa ili asionekane..je ni kwa nini au kuna sababu ya msingi ya kumfunga kitambaa asionekane??
Msaada tafadhali.