Kesi inamkabili , waziri wa zamani wa jk, J MUNGAI, imehairishwa hadi oct 15,
Aliyekuwa waziri wa serikali zote nne za jamhuri ya muungano wa Tanzania na mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazin (mstaafu) Bw Joseph James Mungai ( kulia) akitoka katika jengo la mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Iringa leo baada ya kesi yake inayomkabili ya tuhuma za rushwa katika kura za maoni CCM kusogezwa mbele hadi Octoba 15 mwaka huu Bw Moses Masasi (mbele) ambaye ni mmoja kati ya watuhumiwa wawili waliounganishwa na Mungai akitoka mahakamani hapo asubuhi ya leo Bw Mungai na ndugu na jamaa zake wakitoka mahakamani hapo Hapa akiingia katika gari tayari kwa kuondoka mahakamani hapo