Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 720
Ndugu zangu,poleni na majukumu ya kutwa nzima!
Kumekuwepo na kesi iliyofunguliwa na Ndg Hamis Mgeja na John Guninita dhidi ya Paul Makonda iliyotokana na wao wawili (kudai) kukashifiwa, kutukanwa, kudhihakiwa na Paul Makonda wakati wa harakati za uchaguzi mkuu uliopita, 2015.
Kwa maana hiyo, hao makada wawili wakawa wanadai fidia ya TZS 100 MIL kila mmoja kwa kuchafuliwa majina yao,na walifungua kesi mahakamani,Dsm.
Ikumbukwe pia, Mgeja amewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga na Guninita amewaki kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dsm
Mwenye updates za hii kesi, ili kama wameyamaliza tujue, kama yamewekwa pending tujue pia.
Asanteni sana.