Mwizukulu wa Buganda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2024
- 638
- 1,771
Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi mdogo kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu Jumatatu ya tarehe 22 Septemba 2025.
Uamuzi huo unakuja kufuatia Lissu kuweka mapingamizi yaliyokuwa yanahusiana na ubovu wa hati ya mashtaka pamoja na maelezo ya mashahidi (witness statement) kuchukuliwa kinyume cha sheria na pia yapo maelezo ya mashahidi ambao mahakama ilisema utambulisho wao ufichwe wameshindwa kufanya hivyo.
Lissu aliwakilisha mapingamizi hayo mara baada ya kusomewa mashtaka, kufuatia kutupiliwa mbali pingamizi lake la awali juu ya mapungufu ya kisheria yaliokuwa kwenye Committal process, iliyosomwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Pia soma
- GE2025 - Lissu: Naomba Mahakama kesi yangu irushwe mubashara ili kuondoa tatizo la wanachadema kupigwa nje ya Mahakama