E ELIESKIA Senior Member Joined Jul 21, 2011 Posts 120 Reaction score 19 Apr 14, 2012 #1 Hivi kesi ya kina mramba,mgonja,yona na kina werema inaendeleaje? update plssss
M MAMC Senior Member Joined Jan 3, 2012 Posts 139 Reaction score 66 Apr 14, 2012 #2 Watanganyika si uanwajua ?ni wazee wa kuwa sweyed na matukio so long as Magazeti na redio zina wa keep busy hakuna hata anayekumbuka kuhusu hii Kesi, na nyingine nyingi tu, e.g Johnson Lukaza, etc si unaona hata hii thread hakuna mwenye habari nayo
Watanganyika si uanwajua ?ni wazee wa kuwa sweyed na matukio so long as Magazeti na redio zina wa keep busy hakuna hata anayekumbuka kuhusu hii Kesi, na nyingine nyingi tu, e.g Johnson Lukaza, etc si unaona hata hii thread hakuna mwenye habari nayo
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,394 Reaction score 99,239 Apr 14, 2012 #3 Hivi ulikua unaamini ni kweli ile kesi? Haaaaaa kweli we mdanganyika,changa la macho lile.
kookolikoo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 2,800 Reaction score 694 Apr 14, 2012 #4 King Kong III said: Hivi ulikua unaamini ni kweli ile kesi? Haaaaaa kweli we mdanganyika,changa la macho lile. Click to expand... sio changa la macho. mwenendo wa kesi umeshachapwa na sasa washtakiwa wanaupitia tayari kwa utetezi wao
King Kong III said: Hivi ulikua unaamini ni kweli ile kesi? Haaaaaa kweli we mdanganyika,changa la macho lile. Click to expand... sio changa la macho. mwenendo wa kesi umeshachapwa na sasa washtakiwa wanaupitia tayari kwa utetezi wao