arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 585 Sep 28, 2011 #1 Hapa kwetu kama kesi iko mahakamani ni mwiko kuiongelea na hasa kwenye vyombo vya habari. Hapa Kuna mama ambaye alikuwa rafiki ya Michael Jackson anaitwa Hilton anaongea na CNN kama anatoa ushahidi, hivi sheria za marekani zinasemaje?
Hapa kwetu kama kesi iko mahakamani ni mwiko kuiongelea na hasa kwenye vyombo vya habari. Hapa Kuna mama ambaye alikuwa rafiki ya Michael Jackson anaitwa Hilton anaongea na CNN kama anatoa ushahidi, hivi sheria za marekani zinasemaje?
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,699 Sep 29, 2011 #2 R.I.P. wakojako