Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,586
- 287,272
Karibu sanaHaya
wee ndie hakimu?Karibu sana
Safi xnaa hapa ata mm sipingi mkuuKama ulidhani jambo hili ni utani, basi ulijidanganya, mambo tayari yako Mahakamani.
Kesi hii yaweza kuwa fundisho kwa mitandao mingine ya simu inayoshirikiana na Watekaji na Wauaji, hata kama watekaji hao ni Watu wa Serikali
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3037324View attachment 3037325
Wewe ndiyo mshtakiwa?wee ndie hakimu?
kwanini unaniuliza hivyo?Wewe ndiyo mshtakiwa?
Kama amemlipa jaji atashinda lakini kavu kavu tutarudi tena kuupitia huu uzi!Kama ulidhani jambo hili ni utani, basi ulijidanganya, mambo tayari yako Mahakamani.
Kesi hii yaweza kuwa fundisho kwa mitandao mingine ya simu inayoshirikiana na Watekaji na Wauaji, hata kama watekaji hao ni Watu wa Serikali
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3037324View attachment 3037325
Kwanini uliuliza vile??kwanini unaniuliza hivyo?
Hakuna kesi hapo shika haya maneno yangu ...ni mchongo tuKama ulidhani jambo hili ni utani, basi ulijidanganya, mambo tayari yako Mahakamani.
Kesi hii yaweza kuwa fundisho kwa mitandao mingine ya simu inayoshirikiana na Watekaji na Wauaji, hata kama watekaji hao ni Watu wa Serikali
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3037324View attachment 3037325
Hela iingie mtaaniVodacom washindwe kesi wateme mzigo huo.