Kesi ya Gwajima: Mahakama yatupilia mbali ushahidi wa mlalamikaji, Gwajima apeta

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
  • Mahakama ya Kisutu imetupilia mbali ushahidi wa CD iliyopelekwa mahakamani kwa sababu haijakidhi Vigezo vilivyoainishwa na mahakama kabla ya Kupokelewa.
  • Moja ya kigezo ilikuwa mlalamikaji alete mtu aliye rekodi CD hiyo, mlalamikaji akashindwa kumpeleka hivyo kupelekea ushahidi huo kutokuwa valid kimahakama.
  • Kuna kila dalili Gwajima kushinda kesi hii, hii ni fundisho wa Serikali kutojiingiza kwenye ishu zisizo na kichwa wala miguu kuharibu kodi zetu walalahoi, naanza kumuelewa Makonda kwa nini alisema hataki polisi kujiingiza kwenye ishu za makanisani.
============
THE leader of Glory of Christ of Tanzania Church, Bishop Josephat Gwajima, left the Kisutu Resident Magistrate’s Court in a happy mood after the court refused to accept, as exhibit, a CD-video tape allegedly showing how he abused Cardinal Polycarp Pengo.

Senior Resident Magistrate Cyprian Mkeha ruled that the prosecution failed to bring the person who had recorded the CD in which Bishop Gwajima is claimed to have given abusive words to the leader of the Roman Catholic Church, Dar es Salaam Diocese.

Following such ruling, the magistrate adjourned the trial to May 4, for continuation of the hearing of the case. Immediately thereafter, Gwajima and his followers who were in dark suit, left the court premises with a sign of praising God.

They chanted “Yesu, Yesu….” or “Jesus, Jesus….” Memorandum of facts of the case shows that between March 16 and 25, last year, Gwajima was preaching his followers at Tanganyika Packers Grounds at Kawe area in Kinondoni District, where his church holds Sunday masses.

While preaching, Gwajima allegedly used abusive and insulting language to Cardinal Pengo. According to the prosecution, the accused person was video-recorded while uttering such words and the same was circulated through social networks.

The prosecution informed the court further that Bishop Gwajima was summoned and appeared at the Central Police Station on March 27, this year, for questioning before his arraignment on the offence he is currently facing.

Gwajima has admitted some of the facts, including his name and leader of the church and that he had appeared before the police before being taken to the court to face the criminal charge. He denied other particulars of the offence.

Source: http://www.dailynews.co.tz/index.ph...rt-refuses-to-accept-cd-video-tape-as-exhibit
 
Polisi wakatae kutumika kwenye siasa na kwenye imani za watu unless when necessary.
 
THE leader of Glory of Christ of Tanzania Church, Bishop Josephat Gwajima, left the Kisutu Resident Magistrate’s Court in a happy mood after the court refused to accept, as exhibit, a CD-video tape allegedly showing how he abused Cardinal Polycarp Pengo..
Mimi nataka kuongelea kwa mtazamo wa kiroho zaidi, sio kisheria. Ina maana sasa hivi Gwajima anapigania msimamo kwamba hakusema yale maneno yaliyorekodiwa? Sasa kiongozi wa kiroho unafurahia kuficha kile ulichoongea hadharani, inaleta taswira gani kwa yale unayohubiri; kwamba pia tusiyaamini?
 
Mimi nataka kuongelea kwa mtazamo wa kiroho zaidi, sio kisheria. Ina maana sasa hivi Gwajima anapigania msimamo kwamba hakusema yale maneno yaliyorekodiwa? Sasa kiongozi wa kiroho unafurahia kuficha kile ulichoongea hadharani, inaleta taswira gani kwa yale unayohubiri; kwamba pia tusiyaamini?
Mahakama ndio imepinga sio yeye, yeye msimamo wake ulikuwa yale aliyoyasema sio matusi ila alikuwa "anamchana live" kiongozi mwenzie aliyeacha njia kama kiongozi wa kiroho kutetea kuwageuka wenzie ambao walikubaliana kwa azimio moja kuwa wapinge mahakama ya kadhi.
 
Kupoteza muda tu, wanaacha kudili na walarushwa na wakwepa kodi wanashupalia vitu visivyo na maana
 
Kupoteza muda tu, wanaacha kudili na walarushwa na wakwepa kodi wanashupalia vitu visivyo na maana
Cha ajabu hio kesi ilipita kwa mgurugenzi wa mashtaka kabla ya kupelekwa mahakamani.
Sasa najiuliza hawa jamaa wa hio ofisi ni professional kweli??

Gwajima akishinda kesi si atataka kulipwa fidia ya kesi pamoja na hela ya usumbufu?? sio chini ya millioni 200 hapo zinatoka aisee.
 
... kiongozi mwenzie aliyeacha njia kama kiongozi wa kiroho kutetea kuwageuka wenzie ambao walikubaliana kwa azimio moja kuwa wapinge mahakama ya kadhi.
Kwanza napenda kukukosoa kuwa si kweli tofauti yao ilikuwa katika kuunga au kukubali mahakama ya kadhi, bali ilikuwa kuunga au kupinga katiba inayopendekezwa. Kwa taarifa tu ni kwamba katika katiba ile inayopendekezwa, mahakama ya kadhi ilikataliwa, so hakuna uhusiano wa tofauti zao katika vitu hivyo
 
Mahakama ndio imepinga sio yeye, yeye msimamo wake ulikuwa yale aliyoyasema sio matusi ...
Kama msimamo wake ndio huo, kwa nini amefurahi maneno hayo yalivyokataliwa kutumika kama ushahidi? Rejea hapa:

Bishop Josephat Gwajima, left the Kisutu Resident Magistrate’s Court in a happy mood after the court refused to accept, as exhibit
 
Kama msimamo wake ndio huo, kwa nini amefurahi maneno hayo yalivyokataliwa kutumika kama ushahidi? Rejea hapa:
Hio ni lugha ya kiuandishi tu mkuu.

Katika faishi ya kiingereza hio ni lugha ya kifasihi tu. Tafsiri yake yaweza kuwa

"Gwajima aula" au "Gwajima atoka mahakamani akichekelea" au "Gwajima atoka mahakamani meno 32 nje"..

Au mtu akisema "Mbatia ambwaga Mrema kortini" haina maana kuwa walikabana mieleka, ila ni fasihi ya lugha.
Au mahakama yatupilia mbali ushahidi wa CD iliyowasilishwa mahakamani haina maana kuwa hakimu alichukua ka-CD akarusha nje ya dirisha.

Ni mbwembwe za fasihi tu hizo
 
Kwanza napenda kukukosoa kuwa si kweli tofauti yao ilikuwa katika kuunga au kukubali mahakama ya kadhi, bali ilikuwa kuunga au kupinga katiba inayopendekezwa. Kwa taarifa tu ni kwamba katika katiba ile inayopendekezwa, mahakama ya kadhi ilikataliwa, so hakuna uhusiano wa tofauti zao katika vitu hivyo
Mkuu naomba urejee vizuri reference zako juu ya hili unalolisema hapa, kama huna reference rejea pia ile clip ya gwajima mitandaoni au kama huna tafuta uzi humu uliokuwa unaelezea hilo sakata kwa kina.
 
Mnaodhani kuwa Bishop Gwajima atadai malipo yeyote juu ya kesi hii akishinda wala hana wazo hilo huyo ni Mtumishi wa Mungu hasa anazijua njia za Mungu waliomfanyia lolote wao wajiandae tu na Mungu kupokea ujira wao wala hakuna haja ya kuwaza/ kuhofu eti atafungua kesi ya madai la hasha anamwamini na kumtumikia Mungu kuliko wawazavyo watu wengi kama uliwahi kumtenda jambo fanya hima tu muombe msamaha na hana shida kabisa sasa wewe utakae endelea na domo lako hilo utajua mwenyewe, Hallooooow.
 
Back
Top Bottom