Kesho naitupa line ya Halotel rasmi

Halotel iko hoi taabani ...yashawashinda mie mwenyewe wamenichosha sana tu
 
Nshafanya tafiti nahisi wapo vizuru kiasi chake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona umechelewa sna kuitupa , mim binafsi niliitafta kwa mbwembwe ila saiv nimekwisha sahau asa kma niliwai kutumia halotel hawa jamaa wamekua vipusa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu ulizozitoa utahama mitandao mingapi.maana kila mtandao una shida zake.
 
wanajua laani zao hazitupwaji
Ni kweli, lkn huwa zinatunzwa kwa matumizi ya baadae. Kiukweli Tigo tangia walipoanza kupunguza mb na kuniunganisha kwenye vifurushi nisivyovitaka, nilikoma kuweka salio. Nina miezi miwili sasa sijaweka salio Tigo.
 
Tigo customer care hamna bora TTCL
 
Coverage inategemea na mahala ulipo, labda waongeze mtandao sehemu ambazo upo chini au haupo. Kanda ya kaskazini (Arusha, Manyara etc )upo poa, kuna baadhi ya vijiji nimeenda voda na airtel zipo chini sana ila halotel ina dunda.
 
Hapa kila mtandao una changamoto zake na inategemea unamatumizi makubwa kiasi gani pia ipo mitandao ina coverage ndogo lakini ni babukubwa kiasi cha kumfanya mtu asihame licha ya kuwa na coverage ndogo. Hivyo we fanya research yako ujue unahitaji kujiweka wapi
 
Siku zote mgema....akisifiwa tembo hulitia maji na ngoma ikivuma sana ujue ipo mbioni kupasuka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…