Lofawamali
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 304
- 146
Hahaha nasubiria monieMkuu isikupandishe hasira ukawa hauna raha...just vunja vunja tu kama mi nilivyoamua kuachana na voda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa chief natamani utokee mtandao ambao wapo serious.Nahisi hata ttcl nao hawana muda mana wote tukihamia kule. Sijui labda tuombe Mungu.Halotel walianza vizuri lkn sasa wanaboa. Kila la kheri mkuu
Jamani sijui hawa Halotel wana tatizo gani aisee yaani usiku ndy mtandao unakuwa down kabisa nawachukia sana hawa mburula kibaya zaidi ukiwapigia ndy utachoka kabisa
Dawa kuwahama tu...Jamani sijui hawa Halotel wana tatizo gani aisee yaani usiku ndy mtandao unakuwa down kabisa nawachukia sana hawa mburula kibaya zaidi ukiwapigia ndy utachoka kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app