Kesho Ijumaa Kuu, mwana wa Mungu aliuawa

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Posts
7,472
Reaction score
7,276
Kwa imani yako, likumbuke tukio hili na lizidi kukuongezea imani yako.
Ni tukio la ajabu sana ambalo Mwenyezi Mungu Muumba vyote(Yehova) alilifanya. Yaani kumtoa mwana wake wa pekee asulubiwe kwa ajili ya ukombozi wa ulimwengu.
 
kwa imani yako, likumbuke tukio hili na lizidi kukuongezea imani yako.
Ni tukio la ajabu sana ambalo mwenyezi mungu muumba vyote(yehova) alilifanya. Yaani kumtoa mwana wake wa pekee asulubiwe kwa ajili ya ukombozi wa ulimwengu.
amen
 
Asante sna!
Yesu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…