General mex
Senior Member
- May 1, 2011
- 158
- 185
Ningeomba nifahamishwe kama sheria ya barabarani inaruhusu hizi taa zinazotoa mwanga mweupe au wenye rangi ya bluu.
Hizi taa kwa kweli zinapotumiwa kwenye magari huwapa wakati mgumu sana madereva wakati magari yanapishana. Nadhani ni muda sasa serikali iangalie hili swala kipekee maana zinazidi kuwa nyingi hapa jijini.
Madereva na watumiaji wa vyombo vya moto wasieke taa kiholela tuu nyingine ni mahususi kwa ajili ya maeneo yenye ukungu na vumbi, huku Dsm tunapofuana macho tuu.
Kama kuna mtu hili swala linamkera pia atoe maoni yake kwa kweli wahusika wasikie.