Benk zinatafuta deposite kwa sasa, na faida kubwa wanayoipata benk, ni kupitia mikopo, sasa mtu unaenda kukopo, mtu anakuletea za kuleta, mtibulie tu, na hata kama sio afisa mikopo, hata hao wafanyakazi wengine, ukiona wanakuletea dharau au wnajibu maneno ya ovyo ovyo, fuata hatua hizo hizo hapo juu, mkifanya hivyo, nadani miezi mitatu tu, heshima itarudi benk ya NMB, na watawaheshimu, maana hizi kazi za kupewa na mjomba huwa sometime zinakuwa ni kero kwa wateja. Samahani staff wa nmb, maana nimetibua. By mzee kutibua.