Utangulizi: Mkuu wa wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, amekuwa kikwazo na mzigo kwa chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro . Sera ,uelekeo wake na vitendo vyake vinaonyesha wazi kuwa anamuunga mkono mgombea ubunge wa CCM aliyeanguka, ambaye alifanikiwa kupata kura 557...