mkuu wakwanza ni huyo hapo zion...
sijamboo unajua na wewe maanaake
Unajua maana ya shikamoo??nipo chini ya miguu yako..
Subiri na wewe uanze kuzikataa shikamoo ndo utaelewa maana yake.
opps kwanza nilisahau...marhabaaaaaaa mtoto mzuri hujambo?
Pole sana dunia siku hizi imebadilika kila mtu ana taka aonekane mtoto!
samahani kwa kuwachosha wakuu,hi kitu kwangu ni tatizo sana na ina nikera.na amini watanzania tumeumbwa na maadili ukutanapo na mtu mkubwa wako au mdogo wako kumsalimia ni jambo la kawaida,inakuaje unakutana na mtu unamjua kabisa kakuzidi umri hata unaweza kuwa mtoto wake una mpa heshima yake...SHIKAMO MZEE AU SHIKAMO MAMA nakuangalia afu anakwambia mambo?dah shida kweli...pia unapita mahali kwa roho safi unasalimia.watu hawaitiki afu unasikia huku nyuma jamaa mbona anapenda kusalimia sana au anajipendekeza...ukiwachunia utasikia jamaa anajisikia sana,wanadamu mfanyiwe lipi jemaa...kuazia leo nimeamua kutosalimia cse hainiongezei kitu wala hainipunguzi kitu...niayo tu