bigboss1
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 319
- 196
Habari zenu wanajamvi,
Nimekerwa sana na hawa wanaume ambao kusema asante ni kazi unamkuta mtu anajipinda anakupikia, kukufulia ukiumwa anakupa matunzo ukiishiwa anakusitiri akitaka kitu anapewa chochote.
Ila hana shukurani matokeo yake anakubeza akilewa anakupiga anakuita malaya, kweli inauma nimeona mengi kwa watu wengi.
Ila utashangaa anapewa hela anayempelekea ndio anamweshimu anamuita mke bora anayempa mapenzi ya dhati.
Akifika home matusi, kipigo kelele yani sijui kwanini inanikera sijui na nyie mnalionaje shida huwa nini ukitukana ni sawa ukichangia hiyo ni safi zaidi.

,ila papachu kawaida tu coz wote tunapata raha ila kufuliwa na mwanamke raha sana....