Kero ya wamachinga

Shetemba

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
956
Reaction score
986
Wamachinga wamekuwa kero kubwa sana kwa sisi tutembeao kwa miguu hasa maeneo ya kariakoo,nnchi nzima imegeuka soko, nadhani hata watu wa mataifa mengine wanatushangaa sana,sisi tunaotembea kwa miguu tunapata shida sijui watu wenye magari inakuwaje,nakumbuka kuna kijana mmoja alichomwa kisu akafa kwa kukanyaga nyanya na gari kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…