A Anonymous Guest Apr 12, 2026 #1 Kero ya nzi wanaotokana na dampo lililopo Pugu. Wahusika wa dampo hawamwagi dawa hivyo kusabababisha nzi eneo la Pugu Kinyamwezi. Watu wapo hatarini kupata magonjwa.
Kero ya nzi wanaotokana na dampo lililopo Pugu. Wahusika wa dampo hawamwagi dawa hivyo kusabababisha nzi eneo la Pugu Kinyamwezi. Watu wapo hatarini kupata magonjwa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,945 Reaction score 193,992 Apr 12, 2026 #2 Hivi ni watu walilifuata dampo au dampo bdiyo lilifuata watu, kwenye mipango miji? Cc: Mahondaw
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,157 Reaction score 166,102 Jul 17, 2026 #3 Anonymous said: Kero ya nzi wanaotokana na dampo lililopo Pugu. Wahusika wa dampo hawamwagi dawa hivyo kusabababisha nzi eneo la Pugu Kinyamwezi. Watu wapo hatarini kupata magonjwa. Click to expand... Serikali sikivu ya CCM inataka mfe kwa kipindupindu
Anonymous said: Kero ya nzi wanaotokana na dampo lililopo Pugu. Wahusika wa dampo hawamwagi dawa hivyo kusabababisha nzi eneo la Pugu Kinyamwezi. Watu wapo hatarini kupata magonjwa. Click to expand... Serikali sikivu ya CCM inataka mfe kwa kipindupindu