Kwa nini ukishusha mzigo katika bandari ya Tanzania Zanzibar unatozwa kodi kidogo na TRA, angali ukishusha mzigo katika bandari ya Dar unatozwa kodi kubwa na TRA hiyo hiyo?
Kuishi znz unatoa kodi kidogo,ukiishi bara unatoa kodi kubwa kwa nini angali tunajenga nchi moja?
Kuishi znz unatoa kodi kidogo,ukiishi bara unatoa kodi kubwa kwa nini angali tunajenga nchi moja?