Mi napata kwa hiyo namba,kuna boompesa,instamoja na sportpesa japo nilijisajili na sportpesa tu zikianza kuja ni kero usiombe kuwe na muamala unausubiri unaweza hisi umeingia kumbe ni wazee wa kamaris
Haya ni baadhi tu ya matangazo ya Tigo niliyotumiwa ndani ya masaa 24 yaliyopita. Nilishaomba TCRA watuondolee hii shida. Matangazo haya hayana tija yoyote kwa watumiaji wa mtandao huu, na nina mashaka kama bahati nasibu wanazozihamasisha kuna mtu yeyote amewahi kufaidika nayo kama wanavyotaka tuamini. Hii ni namna nyingine ya kuwapotezea wakati wateja wao, rasilmali ambayo ingetumika kwa namna nyingine kulijenga taifa.View attachment 1074673View attachment 1074676
kama siyo kwamba line hii nimeitumia toka utotoni/chuo ningeshaitupa siku nyingi sana wajinga hawa tigo.Bora Wewe unapata kutoka kwenye namba moja, mi napata zaidi ya msg kumi kwa siku namba tofauti