KERO Kero ya Maji kisiwani Mafia

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
  • Tags Tags
    kero
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi mdau wa jamii forum, ninakero unayohusu idara ya maji katika wilaya ya Mafia kisiwa cha mafia mkoa wa pwan, maji wanayotumia wakaazi wa mafia si salama kwa afya za wakaazi kutokana kuwa na taka taka nyingi na kutu kushindwa kutumia kwa matumizi ya nyumbani hivo tunaomba mamlaka zisaidie kutatua hii kero maana ipo kwa zaidi ya miaka 7 sasa

 
Tatizo pesa za miradi zinaishia mifukoni kwa mafisadi
 
Mkuu ile chemchem karibu na bahari ipo au ilishalauka? Pale karibu na nyumba ya mkuu wa wilaya maana nimeondoka mafia 1995
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…