KERO Kero ya barabara ya mtaa wa Songea

KERO Kero ya barabara ya mtaa wa Songea

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Serikali imejenga barabara ya mtaa wa Songea kwa kiwango cha lami ila serikali hiyo hiyo imeruhusu watu wapaki pembeni ya hizo barabara na zitumike kama garage hii hufanya barabara ya kuharibika na pia imekuwa kero wananchi kufika kwenye majumba yao na kupishana ni tabu vile magari yamepaki pembeni


 
Hata hapa lindi kuna mtaa unaitwa songea taja mkoa au wilaya ili iwe rahis kwa mamlaka kichukua hatua
 
Kwa kweli inasikitisha sana. Ni kama hakuna serikali watu wanafanya watakavyo barabarani.
 
Back
Top Bottom