Huu utaratib ulioanziswa hap Mlimani City katik Bank ya CRDB Kuw mtu kuwa anapofika anachukua karatasi iliy na Number pal katik ile ATM ya😵k ni utaratib mzur ulioanzishwa ili kupunguz kuvukwa na mtu kisa anamtu anaemfahamu na kumpa ile Pesa anayotak kuwek.Ila inakuj hali ya kuwa na upungufu wa Bank teller.Pale kuna bank teller watano inavyoonesh ila cha ajabu Jana walikuwep ma bank teller watatu wanaotoa huduma kwa wa2 zaidi ya 375.Cha ajabu ilipofika muda wa kufung office yao (BANK)Ndipo 2lipoambiw 2pang mistar ili wa2hudumie!SHUT hii imenikel sana na nadhan kuw papo wanaochukizwa na utaratibu huu.Pia kuna kuw na baadhi ya watu wanaochukuliana kati yaan zile Number harafu wanaondok nazi wanapoon wak na Number za mbali kuitwa pal na mateller ili wapat huduma.But huu taratibu ni Mzur ila waongeze Ma teller na sio madilish ambay hayan wa2.