Toa taarifa BOTWadau, mm ni wakala wa shughuli za Mpesa na za kibenki ila nimekuwa nikipata shida sana napopeleka pesa mbovu benki ambazo nimezipokea kutoka kwa wateja ambao wanakuja kupata huduma ofisini kwangu. Watu wa benki wao wanasema pia wao wanahojiwa na BOT pesa mbovu wanazipata wapi? wakati kiuhalisia pesa mbovu lazima zipo katika mzunguko.
Kwa jinsi navyojua Benki yoyote Tanzania ni kama wakala wa BOT (act as ana agent of BOT) hivyo wateja wao wanapopeleka hela mbovu inatakiwa wawahudumie wanapozikataa sasa wateja wazipeleke wapi? Hili limekuwa #kero sana kwa wateja.
Naomba kujua utararibu upoje kuhusu hizi pesa mbovu ambazo mtoa huduma wa biashara za kawaida anapokea kutoka kwa wateja azipeleke wap?
Nafikiri hayo ni makosa binafsi ya mtoa huduma uliyekutana naye counter. Angalia hapo kwenye tawi la benk unayopata huduma kuna ofisi ya Manager wa tawi umjuze ulicho ambiwa atakusort.Wadau, mm ni wakala wa shughuli za Mpesa na za kibenki ila nimekuwa nikipata shida sana napopeleka pesa mbovu benki ambazo nimezipokea kutoka kwa wateja ambao wanakuja kupata huduma ofisini kwangu. Watu wa benki wao wanasema pia wao wanahojiwa na BOT pesa mbovu wanazipata wapi? wakati kiuhalisia pesa mbovu lazima zipo katika mzunguko.
Kwa jinsi navyojua Benki yoyote Tanzania ni kama wakala wa BOT (act as ana agent of BOT) hivyo wateja wao wanapopeleka hela mbovu inatakiwa wawahudumie wanapozikataa sasa wateja wazipeleke wapi? Hili limekuwa #kero sana kwa wateja.
Naomba kujua utararibu upoje kuhusu hizi pesa mbovu ambazo mtoa huduma wa biashara za kawaida anapokea kutoka kwa wateja azipeleke wap?
CRDB Boko Mianzini, NBC Tegeta Kibo, TCB Tegeta.Benki gani imekataa...??
Upo maeneo gani..?
Nilifika TCB Tegeta, Afisa msaidizi wa manager akasema wao wanaulizwa na BOT wanatoa wapi pesa mbovu wakati huo nimeenda na Tsh lak 9 wakapokea laki 3 tu.Nafikiri hayo ni makosa binafsi ya mtoa huduma uliyekutana naye counter
Angalia hapo kwenye tawi la benk unayopata huduma kuna ofisi ya Manager wa tawi umjuze ulicho ambiwa atakusort. Hata ukiuliza tu mlinzi hapo akuoneshe ofisi ya manager atakusaidia...
Pole kwa changamoto uliyopata na wala huna haja ya kutaja jina la Benki hapa kwani inaonekana kilichotokea ni kosa binafsi la mtoa huduma na sio benki....
Tuanze na hizi za tegeta mkuu...Crdb Boko Mianzini, NBC Tegeta Kibo, TCB tegeta
Crdb Boko mianzini, TCB tegeta, NBC tegetaTaja jina la benki husika na tawi ili wengine wasipate kadhia kama yako kwenye hio benki na tawi lake tuache kuficha uozo wa kipumbavu
Wahudumu nawakumbuka kwa sura ila majina sinaTuanze na hizi za tegeta mkuu...
Lini ilitokea na unakumbukumbu ya muhudumu aliyekuambia hayo...?
Sawa mkuu... ila mpaka sasa suala lako si lishatatulika au bado..?Wahudumu nawakumbuka kwa sura ila majina sina
Yes wana uvivu fulan ambao unakera, kwenye swala hela mbovu wanaweza wakaona uvivu kuhesabu hivyo wakaamua kusema hawapokeiKuna siku mimi bank walikataa kupokea elf5 zilizokuwa laki5. Eti muda wa kuhesabu haupo, ilikuwa around saa 9.
Hili tatizo lipo maeneo mengi baadhi wanakataa coins hasa kama zina kutu, na ilushatokea mmoja aligomewa tu nadhani nilikuwa nafanya bulk withdraw benki fulani Morogoro nilikuwa naenda kuwalipa watu somewhere nikakutana na hicho kisa.Crdb Boko mianzini, TCB tegeta, NBC tegeta
Bado, kwa sababu ni tatizo endelevu Mfano jana nimeenda NBC tegeta wamezipokea elfu 90 kwa masharti kwamba nikipeleka siku nyingine pesa mbovu hawatazipokea kwa sababu BOT wanawahoji sana wao na pia wateja wanakaa kwenye folen muda mrefu.Sawa mkuu... ila mpaka sasa suala lako si lishatatulika au bado..?
Sawa mkuu..Bado, kwa sababu ni tatizo endelevu Mfano jana nimeenda NBC tegeta wamezipokea elfu 90 kwa masharti kwamba nikipeleka siku nyingine pesa mbovu hawatazipokea kwa sababu BOT wanawahoji sana wao na pia wateja wanakaa kwenye folen muda mrefu.