Kero: Nataka nimzabe kibao huyu binti sababu ananishawishi

Ivi si ulisema una mtoto na mchumba unataka kuoa imekuaje ?? Ebu tuanzie hapo kwanza..ili tujue kama tabia yako ni kuduungua na kuacha... Kuhusu uyo mwanafunzi mi naona hauko serious kwasababu umesema we ni mtu mzima.. Je utu uzima wako umekusaidiaje unataka kushindwa akili na form four? Hujui hata kublock mkuu?
 
Yeye anakuona kama kaka yake .
Tatizo wewe fisi unataka kumtafuna papuchi yake, Lakini unaogopa kwenda Segerea sema ukweli tu mkuu.
 

Toa taarifa kwa mwenyekiti wa Jumuiya! Kama ni Jumuiya ya Kanisani hilo tatizo lake si angelifanyia maombi. Hivi huoni kumchapa vibao ni kuvunja sheria za nchi? Kwa uzoefu wangu kumkwepa huyo ni ku-keep distance au keep aloof from her, namba yake ya simu unai-block; halafu muda wote mkikutana wewe hauna muda.

Kama akili yako ya kuzaliwa inakuambia hivyo ile ya shule inasemaje?
 
above 18,,,tafuna tu!.kumb.huyo demu ana mimba anataka akusakizie ooooh!..chunga hyooo
 
Utakua una matatizo ya akili

Mtoto wa form four anakusumbua namna hii?? I am very sorry for your family, kama wanaume wamefikia this low, basi mtaishia pabaya

What a waste
 
Kiongozi hongera umuelewa ila si sana huyo binti amepata hisia kwako ww unaweza tu kumtreat kisaikolojia kwa kumpa ushauri.

Hapo hamna suala la hasira ila uelewa tu. Hawa wadogozetu inatokea sana kupata hisia za jinsi hiyo endelea kumuelewesha ataelewa tu.
 
Mkuu huyu mtoto anatakiwa asome kwa faida ya maisha yake na famiia yake hapo badae.
MTOTO? we Gojaga mwongo sana. Mmama miaka 20 kasoro moja unamwita mtoto? embu kua serious mkuu. embu kula hyo papuchi imeshakua zamani kha! au kama vp nipe namba yake afu mwambie kaka yake mwingine atamtafuta halafu ntaleta mrejesho baada ya siku tatu. nakuahidi hatakusumbua tena.!
 
Mvua ya miaka 30 inakusubiria hapo mbeleni ASAP! Mim kama mdogo wako nitakuwa nakuletea uji wa ndimu
 
Mkuu fuata ushauri huu ndio sahihi kwako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…