Kero kuhusu UDOM Social Science

Udom social science utawala ni mmbovu that's why hata waalim wengi "vichwa" hawakai mda mrefu pale, utawala hawajal maisha ya wanafunzi wala wakufunzi. Wanamambo ya kisecondary sanaaa, udini na ulimbuken wa madaraka unawaharibu. Halaf co kwamba hivyo vyeo ni vikubwa kivile, naamin wengine wakiwa nje hawawez sema cheo chao proudly mbele za watu, bt wakiwa pale mashauz mianane. Kunamajipu mengi sana pale. Bora miaka ilipita tukasepa staki kupakumbuka
 
uliyoyasema ni ya kweli mkuu mm nikiwa kama mwana jumuiya ya social UDOM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…