mpendachake
Member
- Feb 26, 2015
- 17
- 3
Salaam kwenu nyote Jf,
Kiufupi hii ni kero kutokana na shirika hili la umeme kukata kata umeme takribani ni mwezi huu kuanzia SAA 3 asubuhi hadi saa 12 jioni huku Makambako mkoani Njombe sijui huko kwenu wadau hali ikoje.
Asanteni