WaTz tuache ushabiki hovyo, kauli hii ilitolewa huku kwetu, maneno tofauti ila maudhui ndiyo haya, tukawaka vibaya mno. Leo kauli ya Uhuru inasababisha umsifu kua kapata exposure?
Mara umefurahi kwakua aliyemshinda ni rafiki wa Magu?
Bongo jua kali mpaka ubongo umetengana na uti wa mgongo.