Kenya's virus cases rise to 28,754 as 650 more test positive

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kenya on Thursday recorded 650 new cases of Covid-19, raising the country's total to 28,754, Health CAS Mercy Mwangangi has confirmed.

The new positives were drawn from the 6,768 people whose samples were tested within 24 hours.

This brings the country's cumulative total tests to 375,859.

From the new cases, 633 were Kenyans while 17 were foreigners.

Speaking during the daily Covid-19 briefing, Mwangangi said in terms of gender, 391 were male and 259 were female. Age wise, the youngest was a one -year-old infant while oldest was 97 years old.

Some 490 patients from 23 counties have recovered from the disease, bringing the total number of recoveries in the country so far to 15,100.

A total of 308 of those discharged were from the home-based programme, while 182 were discharged from various health facilities.

Kenya has in the last seven days recorded the highest number of recoveries. As a result, there are more recoveries than active cases for the first time.

However, four more patients succumbed to the virus, raising fatalities in the country to 460.

As the 154th day since the pandemic struck the country, Mwangangi noted that the diagnostic capacity has been standardized and scaled up.

"A total of 33 public and private laboratories in 12 counties are currently conducting tests for Covid-19. Cumulatively 896,612 individuals have been screened across all points of entry from January 21 to August 7," she said.
 
Habari ya chini ya kapeti , vifo vimefika 2127 mpaka leo MK254 Tony254 komora096 mwaswast
SUPER LOCKDOWN IS COMING SOON
wakenya wamekimbilia kukula malimao na ndimu wanajaribu njia zetu maana wameshindwa kuelewa nini kimetokea tz hadi covid inashindwa Ku faction
 
Habari ya chini ya kapeti , vifo vimefika 2127 mpaka leo MK254 Tony254 komora096 mwaswast
SUPER LOCKDOWN IS COMING SOON
wakenya wamekimbilia kukula malimao na ndimu wanajaribu njia zetu maana wameshindwa kuelewa nini kimetokea tz hadi covid inashindwa Ku faction
2484999_FB_IMG_1597297843279.jpg
 
Kiukweli Kenya inatia huruma sana, tuwaombee ndugu zetu hawa, maana hali inazidi kuwa mbaya sana kila kukicha!
 
Yet they're still bragging on testing with nothing to do on the pandemic!

Turn to God, He shall heal your nation, stop trusting your human ability call the Savior
 
Soo much, . Yani kupitia hii covid 19 ndio nimejua Africa majority, not yet uhuru. Wakenya si mje Tz mjionee life linavyoendelea, jubilee imewajaza ujinga mazee, yani hadi wakenya wanaogopa
Jitazameni na low IQs zenu kisha mnajiona werevu kushinda kila mtu....hamna mtu mjinga dunia hii kama mbongolala
 
Jitazameni na low IQs zenu kisha mnajiona werevu kushinda kila mtu....hamna mtu mjinga dunia hii kama mbongolala
Ujinga wetu uko wapi? Sisi ni werevu, de way we have handled this thing, hatuwezi fanana na wajinga wajinga wengine hapa Africa, Ug wameuwawa wengi na polisi enforcing lockdown kuishinda Corona enyewe, Kenya nako polisi imeua sijui wangapi, mara lockdown usiku , mazee. Aise nyie wakenya ni mafara sana, na saa hii hata beers hamruhusiwi kuuza, wooi. Bunch of vry stupid nationals
 
Kiukweli Kenya inatia huruma sana, tuwaombee ndugu zetu hawa, maana hali inazidi kuwa mbaya sana kila kukicha!
Tuna ndugu wengi sana waungwana, wenye moyo wa utu, upendo, uungwana na Wanyenyekevu, kama vile Wacongomani, Waganda, Wazambia, Wamsumbiji n.k, Ndugu aliyejaa wizi, dharau, Majivuno, Kibri na Kinywa kichafu, Hujuma na uchawi juu yako hawezi kuwa ndugu hata kama ni damu moja.
Kenya ni nchi pekee inayoshirikiana na Wazungu kuhujumu Tz na Somalia, Kenya haelewani na Majirani zake wote (Tz, Ethiopia, Uganda, Somalia)
Kenya sio ndugu zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soo much, . Yani kupitia hii covid 19 ndio nimejua Africa majority, not yet uhuru. Wakenya si mje Tz mjionee life linavyoendelea, jubilee imewajaza ujinga mazee, yani hadi wakenya wanaogopa
A reason I said these fellas are fools, from their top leadership to common mwananchi wa Baringo,
Mbinu tulizotumia Tz ingekuwa ni Mzungu katumia ungeona yanavyokimbizana kwa media kuiga kama makondoo vile,
Yamekuwa yakitukana Tz kwa Mitandao tangu mwezi wa nne yakingoja tufe mitaani maelfu kwa maelfu huku wakiwa wamejifungia ndani nakusubiri Mabwana zao wawaletee dawa..
These fools never learn,
Tulipoanza kuelimishana kuboost kinga ya Mwili kwa vyakula vyenye Vitamic C kama pamoja na kufanya steam inhalation, njia za Kiafrica kabisa ambazo hata Mababu zao walitumia waliamka kwa kelele na kebehi mitandaoni,
Sasa ndio wameanza eti kutumia hizo njia.
Ujinga sio kitu kibaya, bali Upumbavu. wakenya ni Wapumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chinese cities find virus in Brazilian chicken wings, Ecuadorian shrimp packaging

Huko China nako frozen imported food stuff zimetest positive

Kuna haja ya kufanya verification ya accuracy ya vipimo vya COVID19 huko Kenya. Why not copy from Magufuli and test oil chafu, papayas, juice, sample kutoka kwa pua za mbuzi etc?

Testing testing testing testing......
Nakumbuka Magufuli alivyofanya the same thing Kenyans walikuwa frontline kumpinga kwa kebehi na matusi ya Kingereza,

Ajabu haya matutusa hadi leo yanaamini Watz watakufa, eti yanasema time will tell,
Tumefungua hadi shule za msingi miezi miwili sasa watoto full kujiachia and nothing happens,

Bora ukose Mali upate akili, wahenga walishasema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom