Wadau, nahitaji msaada wa kufahamishwa kama safaricom ya kenya wanatoa huduma za m-pesa hapa tanzania kwa sisi wateja wao wa safaricom tuishio tanzania. Thanx in advans.
Sidhani hili lipo. Ila hili ni changamoto kwa kampuni za simu kuanzisha mobile money transfer across the region mfano baina ya m pesa safaricom na m pesa vodacom.
Hayo mambo ya detailed proof ya mpokeaji ni Tanzania tu. Usumbufu huo haupo nadhani East Africa nzima sio Kenya sio Uganda. Sijua sisi Watanzania tunaishi enzi zipi. Tunabania wafanyabiashara ndogo ndogo, while mafisadi wanasafirisha mabilioni nje. Bure kabisa.