Zip lkn viongozi wa Kenya (wengi wao) ni vilaza na hawana akili wamejenga flyovers kwenda mashambani kunaitwa Thika, yaani wametumia fedha nyingi mahali ambapo hapakuwa na umuhimu mkubwa ukilinganisha na maeneo mengine matokeo yake ndiyo hayo hata baada ya kutumia mabilioni kujenga superhighway bado wanakaa kwenye foleni ya kilometa 50!