Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Oct 7, 2018 #1 Majirani huyu anaweza kamata hata kuku licha ya mwizi?
Geza Ulole Platinum Member Joined Oct 31, 2009 Posts 72,894 Reaction score 103,758 Oct 7, 2018 #2 Mvivu wa kwenda choo huyu!
M MwendaOmo JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 778 Reaction score 727 Oct 7, 2018 #3 Sky Eclat said: View attachment 889862 Majirani huyu anaweza kamata hata kuku licha ya mwizi? Click to expand... Hahaha..huyo si polisi bali ni chifu
Sky Eclat said: View attachment 889862 Majirani huyu anaweza kamata hata kuku licha ya mwizi? Click to expand... Hahaha..huyo si polisi bali ni chifu
M Makwasa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2018 Posts 301 Reaction score 182 Oct 7, 2018 #4 Geza Ulole said: Mvivu wa kwenda choo huyu! Click to expand... Hana choo cha kwenda mkuu anatembea na Mzigo yaani momo kwa momo
Geza Ulole said: Mvivu wa kwenda choo huyu! Click to expand... Hana choo cha kwenda mkuu anatembea na Mzigo yaani momo kwa momo
Baba lake Senior Member Joined Aug 11, 2018 Posts 170 Reaction score 215 Oct 7, 2018 #5 Makwasa said: Hana choo cha kwenda mkuu anatembea na Mzigo yaani momo kwa momo Click to expand... Umenikumbusha mabasi ya Scandinavian, ilikuwa mambo ya haja momo kwa momo. ... ha haahaa ahaa
Makwasa said: Hana choo cha kwenda mkuu anatembea na Mzigo yaani momo kwa momo Click to expand... Umenikumbusha mabasi ya Scandinavian, ilikuwa mambo ya haja momo kwa momo. ... ha haahaa ahaa
PowelTz JF-Expert Member Joined Sep 9, 2018 Posts 596 Reaction score 373 Oct 7, 2018 #6 Hahahahahahahaha,kipipa hicho.
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 33,511 Reaction score 53,474 Oct 7, 2018 #7 Hehehe! Hiyo sio sare ya polisi, atakua chifu wa kata.
Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 21,157 Reaction score 29,775 Oct 8, 2018 #8 Janerose mzalendo said: Ni nini kinaendelea? Si wabongo walisema wakenya si wanene kisa hakuna chakula Kenya? Click to expand... Huyo ni mkenya fisadi ndiyo maana ujui Kenya inawenyewe siyo mtu kama wewe ,arafu kwanini umekuja na id Mpya ile uliyo post chupa ya pombe na mkono wako umekomaa kama mchimba mitaro umeikimbia
Janerose mzalendo said: Ni nini kinaendelea? Si wabongo walisema wakenya si wanene kisa hakuna chakula Kenya? Click to expand... Huyo ni mkenya fisadi ndiyo maana ujui Kenya inawenyewe siyo mtu kama wewe ,arafu kwanini umekuja na id Mpya ile uliyo post chupa ya pombe na mkono wako umekomaa kama mchimba mitaro umeikimbia
Emc2 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 16,808 Reaction score 16,951 Oct 8, 2018 #9 Dah!! Umbo kama kibuyu.
Tony254 JF-Expert Member Joined May 11, 2017 Posts 16,016 Reaction score 16,433 Oct 8, 2018 #10 Sky Eclat said: View attachment 889862 Majirani huyu anaweza kamata hata kuku licha ya mwizi? Click to expand... Hahaha. Duh kuna mambo humu
Sky Eclat said: View attachment 889862 Majirani huyu anaweza kamata hata kuku licha ya mwizi? Click to expand... Hahaha. Duh kuna mambo humu