Kenyan Election: Jumla ya Asilimia ya Matokeo ni 100.1% hili ni kosa la kimahesabu au ndo wizi wenyewe?

RobyMi

JF-Expert Member
Mar 4, 2012
848
862
Wana JF

Nlikua najaribu kufanya mahesabu hapa, ya jumla ya matokea yaliyokwisha tangazwa na kumpa ushindi Uhuru Kenyatta kama ndie raisi mteuliwa, but kile nikijaribu kukotoa, naona haya mahesabu yanazid upande wa pili.

Kwa hiyo naomba jibu kama jinsi title inavyouliza .

Nime attach calculator na matokeo kama jinsi yanavyooneka google hapa chini
( Remember source ya matokeo yaliyoko google, ni IEBC wenyewe

Total.jpg

Results.jpg

screenshot-www.google.com 2017-08-12 09-11-48.jpg

Kutokana na matokea haya, ukikokotoa inakuja hivi

54.3% + 44.7% + 0.3% + 0.3% + 0.2% + 0.1% + 0.1% + 0.1% = 100.1%

Nawasilisha.
 
Attachments

  • Total.jpg
    Total.jpg
    22.9 KB · Views: 26
Mbona unalialia? Nenda kafungue kesi basi! Mtashinda, naona mnahamisha goli post tuuu! Jaluo akalimee

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Uzuri katiba inatoa nafasi ya kupinga matokeo mahakamani,kama kuna anayehisi kaonewa akafungue kesi
 
Wana JF

Nlikua najaribu kufanya mahesabu hapa, ya jumla ya matokea yaliyokwisha tangazwa na kumpa ushindi Uhuru Kenyatta kama ndie raisi mteuliwa, but kile nikijaribu kukotoa, naona haya mahesabu yanazid upande wa pili.

Kwa hiyo naomba jibu kama jinsi title inavyouliza .

Nime attach calculator na matokeo kama jinsi yanavyooneka google hapa chini
( Remember source ya matokeo yaliyoko google, ni IEBC wenyewe

View attachment 563791
View attachment 563794
View attachment 563796
Kutokana na matokea haya, ukikokotoa inakuja hivi

54.3% + 44.7% + 0.3% + 0.3% + 0.2% + 0.1% + 0.1% + 0.1% = 100.1%

Nawasilisha.

Huko shuleni hamkufunzwa rounding off? Wajua kuwa 0.05 ikiwa rounded off inakuwa 0.1? Hehehe. Washangaza sana
 
Kwa iyo unataka kumaanisha kuwa matokeo yalizid .? Shule haikunifundisha kama watu wakiwa 10, unaweza kuwahesab ukakuta 10.1 then uka round up wawe 10.
 
Wana JF

Nlikua najaribu kufanya mahesabu hapa, ya jumla ya matokea yaliyokwisha tangazwa na kumpa ushindi Uhuru Kenyatta kama ndie raisi mteuliwa, but kile nikijaribu kukotoa, naona haya mahesabu yanazid upande wa pili.

Kwa hiyo naomba jibu kama jinsi title inavyouliza .

Nime attach calculator na matokeo kama jinsi yanavyooneka google hapa chini
( Remember source ya matokeo yaliyoko google, ni IEBC wenyewe

View attachment 563791
View attachment 563794
View attachment 563796
Kutokana na matokea haya, ukikokotoa inakuja hivi

54.3% + 44.7% + 0.3% + 0.3% + 0.2% + 0.1% + 0.1% + 0.1% = 100.1%

Nawasilisha.
Ni rounded off figures man
 
Duh! Bashite siku hizi anajiita Robymi hapa jf! Hizi ndo hesabu zinazomfanya mmaasai ashikwe na wazimu, bure tu, anapohesabu ngombe wake wakiingia kwenye zizi jioni!:D
 
That's the behaviour of excel when it comes to cheating. I do sympathise with rao but I think it's high time he understands that mwosha huoshwa. Alipowaosha watz waliumia hivyo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa iyo unataka kumaanisha kuwa matokeo yalizid .? Shule haikunifundisha kama watu wakiwa 10, unaweza kuwahesab ukakuta 10.1 then uka round up wawe 10.

Wow. Japeth Kavinga hakupata 0.1% bali alipata 0.08%. Dida hakupata 0.3% balia alipata 0.25%. Tafuta kura walizoata kisha ujitafutie asilimia. Wacha uvivu
 
Kwa iyo unataka kumaanisha kuwa matokeo yalizid .? Shule haikunifundisha kama watu wakiwa 10, unaweza kuwahesab ukakuta 10.1 then uka round up wawe 10.
Acha kutuaibisha na wewe,kasome vizuri hesabu za asilimia na uache kulinganisha asilimia na namba za kawaida mfano wako huo wa kishamba
 
Back
Top Bottom